Namna ya kufanya biashara ya Forex
Karibu katika site yetu hii ambapo kama kawaida tunaendelea na mfululizo wa masomo mbali mbali kuhusu namna bora ya kufanya biashara ya Forex kwa faida. Tukumbuke kwamba biashara ya Forex ndio biashara kubwa kuliko zote duniani ambayo ina mzunguko wa zaidi ya trillion 5 za kimarekani kwa siku. Iwapo utafanya maamuzi sahihi, na kuamua kujifunza…