Jinsi ya kucheza forex
Bila shaka umefika kwenye post hii baada ya ku search neno jinsi ya kucheza forex lakini inakupasa kufahamu kwamba Forex sio mchezo wa kubahatisha kama ilivyo michezo mingine ya kubahatisha au Ku-bet kama Sportpesa, Biko n.k Forex ni biashara inayohitaji ueledi wa hali ya juu katika kutathmini uelekeo wa masoko ya fedha za kigeni. Forex…