Katika post hii tutaona njia unayoweza kuitumia kuhamisha pesa kutoka Skrill kwenda M-Pesa Tanzania. Skrill ni moja kati ya huduma nzuri kabisa za kutuma, kupokea pesa na kufanya malipo mtandaoni.
Kama bado hujajiunga na huduma hii, bofya kitufe kifuatacho kufungua account Skrill.
Au waweza soma post hii kuhusu jinsi ya kufungua account Skrill:
Jinsi ya kufungua account Skrill
Kama tayari una account Skrill, na unajiuliza ni mbinu gani utumie kuhamisha pesa zako kwenda M-Pesa Tanzania, ungana nami katika mtiririko huu:
Cha kwanza kabisa hakikisha una account ya Forex ambayo iko Verified kwa broker wa TemplerFX, kama bado huna, account TemplerFX, hakikisha unatengeneza account kwa kubofya kitufe kifuatacho:
- Ukishafungua account, hakikisha umei verify, kwa ku upload vitambulisho vyako, pamoja na ku verify card yako ya bank (utaelekezwa kufuta baadhi ya namba zilizopo kwenye card yako ya bank)
- Ukishakua na full verified TemplerFx account, nenda kwenye sehemu ya ku deposit pesa, ambapo utaona njia mbali mbali za ku deposit
- Chagua Skrill kama njia ya ku deposit
- Deposit kiasi cha pesa unachotaka, nacho kitahamishwa muda huo huo kutoka Skrill kwenda TemplerFx.
- Kiasi chako cha pesa kikishaingia TemplerFx, waweza sasa ukachagua ku withdraw, ambapo utachagua njia ya wallet, ambayo itakuelekeza hatua zifuatazo, na wewe utachagua M-Pesa, kisha utachagua namba yako ya M-Pesa na baada ya hapo muda huo huo kiasi hicho cha pesa kitakua kimehamishwa kutoka TemplerFX kwenda kwenye namba yako ya M-Pesa.
Kama umefurahishwa na post hii, usisahau ku share kuwafahamisha wengine.